Jumamosi, 10 Machi 2018
BIASHARA NDANI YA TEKNOLOJIA
Hii fursa adhimu kabisa ilipo Tanzania. Kuwepo kwa fursa hii kunatokana na kigezo kuwa teknolojia ndio inakuwa.Fursa ni nyingi kama zikitumiwa kiuangalizi.Wale watakaokuwa na mtaji waweze kuwekeza katika sekta hii muhimu.
Faida kubwa ya kuwa katika biashara za kiteknolojia ni "automation", hapa unapata pesa muda wowote saa yoyote kwa kutumia softwares.Fikiria mtu analipia online huduma fulani kila kitu kinafanyika online kwenye mifumo iliyoandaliwa tayari.
Waweza kuwa na lengo,peleka lengo kwa vitendo kisha lifanyie automation kisha marketing. Ukizingatia haya hakika hautajutia.
NITAFANYAJE HII BIASHARA WAKATI SIO MTAALAMU WA TEKNOLOJIA?
Jibu la swali hili ni kwamba ,sio lazima kuwa na uzoefu kufanya kazi hii au kujiajiri.Waweza kuanzia hapa,
1.Lengo
2.Uliza watu wenye uzoefu mahitaji na changamoto.
3.Ingia kwenye mitandao hii kupata wataalamu kwa bei rahisi kuweza kukutengenezea project yako.
(a)Fiverr
(b)Upwork
(c)Freelance
4.Marketing
Tumia muda wako na pesa ulizonazo kuweza kulifanyia matangazo wazo lako.Siku zote ili uweze kupata kitu ni lazima utoe kitu.
Fuata maelekezo hayo kuweza kufanikisha,vile vile uwe na uwezo wa kuua ushindani uliopo kwa bidhaa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Kufanya biashara ya samaki aina ya Degere
1. Ufafanuzi Samaki aina ya degere ni sangara ambao wanakuwa na ukubwa ulio pungufu ya sentimeta 48 ambazo ndio ukubwa unaokubalika kisher...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni